Abiria
waliokuwa wanasafiri kwa basi la Sumry kutoka Sumbawanga kwenda Mbeya
jana walinusurika kifo baada ya basi hilo kuacha njia katika maeneo ya
kijiji cha Tamasenga Sumbawanga.
Kijana Peter Makwaya aliyenusurika katika ajali akiwa amepatiwa matibabu na hali yake inandelea vizuri ,NA KDADDY.
0 comments:
Post a Comment