HII ni video ya wanafunzi wanaosoma Kiswahili nchini Marekani wakifanya Mahojiano juu ya mikakati yao katika masuala mbalimbali ya kuinua nchi kutoka ilipo na kwenda hatua nyingine.
KUANGALIA MAZUNGUKO KWA NJIA YA VIDEO ENDELEO KUSHIKA CHINI.
Wahusika NI Bi.Amina mgombea wa chama Tawala kiitw
acho Chama cha Punda (CCP) na mpinzani ni MBoYA kwa chama cha Tembo (CCT).
Inafurahisha na ningependa wadau wa Tanzania pia waione na hatimaye wakipende kiswahili.
HII IMETUMWA NA MDAU WETU WA BLOG: WWW.JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM, ALLY SAID.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / Uncategories / UNAODHARAU KISWAHILI, HEBU TENGA DAKIKA MBILI UWAONE HAWA WATU WEUPE WAKIJIFUNZA KISWAHILI HUKO KWAO.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

0 comments:
Post a Comment