Waandamanaji katika mji wa bandari wa Thessaloniki.
WAFANYAKAZI nchini Ugiriki wanaandamana kupinga mipango ya serikali kuwafukuza kazi maelfu ya wafanyakazi wa serikali.
Mgomo wa Jumanne ulidumaza huduma za umma na kuathiri zaidi huduma za hospitali, sekta za rel
i na pia safari za ndege.
Watalii waliotumaini kuona majengo ya zamani ya Acropolis Hill huko
Athens walizuiwa, baadhi ya watalii hao walijumuika na Wagiriki kwenye
mgomo huo, huku wengine wakiwa hawajui cha kufanya.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment