Waziri
wa Ujenzi Mh. John Magufuli, leo ametekeleza amri yake iliyotolewa kwa
wamiliki wa nyumba zilizoko pembezoni mwa barabara ya Ally Hassan
Mwinyi, kwa
mba wabomoe kwa ajili ya kupisha upanuzi wa barabara hiyo.
Agizo hilo limeanza kwa kubomoa ghorofa la Business Park (Green Acles) lililopo Victoria Jijini Dar Es Salam . chanzo ITV

0 comments:
Post a Comment