MPIGA PICHA wa New Habari, Anthony Siyame akidhalilishwa na askari wa Idara ya
Usalama wa Taifa wakati wa mapokezi ya Waziri Mkuu wa Thailand, Yungluck
Shin
awatra baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere (JNIA) Dar es Salaam jana,Julai 30 2013.(Picha kwa hisani ya Selemani Mpochi) .
Cha
ajabu ni kwamba wakati mpigapicha huyo akifanyiwa visa na kushindwa
kufanya kazi yake kwa utulivu wanahabari wengine wa kigeni walipewa
ushirikiano mzuri na kufanya kazi yao bila bughuza kabisa.
0 comments:
Post a Comment