BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BREAKING NEWZ ! KUNDI LA VIJANA LAMVAMIA MTAWA VISIWANI ZANZIBAR NA KUMJERUHI VIBAYA.

PICHA YA MAKTABA IKIWAONYESHA MASISTER WA JIMBO KUU LA KANISA KATOLIKI TANGA WAKIWA KATIKA IBADA MKOANI TANGA.
HABARI nilizozipata punde kutoka Zanzibar zinasema Mtawa Mkatoliki ameshambuliwa na kuumizwa vibaya humo katika eneo linalodaiwa kuwa ni jirani kabisa na alipopigwa risasi Padri Mushi na kuuawa.
 
Chanzo kinadai kuwa ni mbwa wa masister hao kumng'ata kuku wa majirani ndipo kundi la vijana wenye mapanga na marungu wakamvamia mtawa na kumuumiza.
Chanzo:JAMIIFORUM
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: