Dereve
wa Isuzu Carry akiwa amepasuka eneo la kichwa baada ya abiria
kumshushia kipigo, wakati ilipotokea ajali baina ya Basi la Abiria la
ZAM ZAM linalofanya route ya Ruangwa – Dar es salaam na Isuzu Carry Eneo
la Mnazi Mmoja Mjini Lindi.Abiria
wakiwa wameshuka na Kuja Kumchomoa Dereva wa Isuzu carry Na kuanza
kumpa kichapo Hadi pale Mpashaji wa Habari hii alipowaambia kuwa waache
kumpiga la sivyo atawachukulia hatua za kisheria huku akionekana kuwapiga picha, hiyo ikawa nafuu kwa Dereva huyo kuacha kupokea kipigoMmoja
wa abiria wa Basi hilo akizozana na abira mwenzake katika eneo hilo la
tukio. Basi hilo likitokea Dar es salaam Kuelekea Ruangwa leo hii na
Limepata Ajali maeneo ya Mnazi Mmoja Lindi Mjini jirani na Mizani.
About mtanda blog
Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
0 comments:
Post a Comment