Yalikuwa
ni majira ya usiku wakati Hemedy PHD anamrudisha mshkaji wake Gelly wa
Rhymes home kwake Sinza ndipo mshkaji wakati anarudi kwake ndipo
ikatokea hii ajali mbaya kwa kugonga kalivati lililopo pembeni ya mtaro
hapa maeneo ya Kijitonyama Kisiwani. Hemedy
ameumia kwenye paja na kifuani ambapo staring ilimbana, kwa sasa bado
yuko hosp anaendelea na matibabu.CHANZO BONGO CLANTZ
About mtanda blog
Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
0 comments:
Post a Comment