| Bondia KASSIM RAJABU AKIPAMBANA NA KEVIN FABIAN WAKATI WA MPAMBANO WAKE ULIOFANYIKA SIKU YA SIKUKUU YA iDDI KATIKA UKUMBI WA DAR LIVE DAR ES SALAAM FABIAN ALISHINDA KWA POINT |
| Bondia Godfrey Pancho kushoto akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na Hamisi Mohamedi wakati wa mpambano wao uliofanyika sikukuu ya Iddi mosi katika ukumbi wa Dar Live Mbagala |
| Bondia Godfrey Pancho kulia akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na Hamisi Mohamedi wakati wa mpambano wao uliofanyika sikukuu ya Iddi mosi katika ukumbi wa Dar Live Mbagala |
| Bondia Chipaki Chipindi akiwa na mashabiki wake baada ya kumkarisha raundi ya kwanza bondia Ramadhani Kido |
| MIYEYUSHO AKISHANGILIA USHINDI |
| MIYEYUSHO AKIWA KATIKA POZI.picha na SUPER D |
About mtanda blog
Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari

0 comments:
Post a Comment