BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HAYA NDIYO MAJIKO BUNIFU YA ROCKET STOVE YENYE KUTUMIA KUNI MBILI YAPO KATIKA MAONYESHO YA WAKULIMA KANDA YA MASHARIKI NANE NANE MOROGORO.

Mkurugenzi wa Masoko wa Majiko Bunifu ya Rocket Stove, Martha Jackson akiwaeleza jambo baadhi ya wananchi wakiotembelea banda lake wakati wakiangalia majiko bunifu (Rocket Stove) katika maonyesho ya wakulima ya kanda ya mashariki uwanja wa Mwl Julius Nyerere Nane Nane ambapo sifa ya majiko hayo ni kutumi nishati ndogo ikiwemo mkaa kidogo na kuni mbili ili kuweza kuivisha vyakula vya aina mbalimbali. 
PICHA WWW.JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
 Moja ya majiko hayo yakiivisha chakula kwa kutumia kuni mbili, okoa pesa yako, okoa mazingira kwa kutumia majik
o bunifu.
 Hapa ni sehemu nyingine ya majiko ambapo lipo lenye mfumo wa sanduku.


Mkurugenzi wa Masoko wa Majiko Bunifu ya Rocket Stove, Martha Jackson akifafanua jambo kwa kwa wateja wake waliofika katika banda lake kuona ubunifu huo wa majiko yenye kutumia nishati ndogo.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: