
Mabadiliko hayo yanajumuisha kuchonga meno na kuwa makali, Tattoo mwili mzima ikiwa ya rangi ya kijani na magamba, Ulimi kupasuliwa kati na kuwa pacha, Manundu maalumu usoni na hivi karibuni hadi midomo yake imekuwa ya kijani yote.

Lizard Skynyrd ndo jina la Bendi yake ambayo imekuwa ikizunguka sehemu tofauti tofauti duniani kwa matamasha mbali mbali. CHANZO http://www.folclassic.com



0 comments:
Post a Comment