BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HII NDIYO TASWIRA YA BANDA LA FARMBASE KWENYE MAONYESHO NANENANE MOROGORO.

Msaidizi Meneja Uzalishaji kampuni ya Faembase LTD, Aziza Ahmed akifafanua jambo kwa mteja kuhusu dawa ya Ecotix inayoua watdudu katika mwili wa wanyama kama mbung'o, kube, mainzi n:k katika banda la  Mifugo na Kilimo la Farmbase LTD katika maonyesho ya wakulima ya Nanenane kanda ya mashariki uwanja wa Mwl Julius Nyerere Morogoro. PICHA NA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
Daktari wa Mifugo, Ahmed Nassour kushoto akifafanua jambo kwa wateja waliotembelea banda la Farmb
ase LTD kujua namna ya matumizi mbalimbali ya madawa ya kilimo na mifugo katika maonyesho hayo ya Nanenane. 
 Nyanya aina ya Anna zikiwa katika vipando vya banda la Farmbase LTD katika maonyesho hayo.
 Haya ni matango aina ya Darina katika vipando hivyo.
 Cabbege aina ya Blue Dynasty ikiwa imestawi vizuri
 Bilinganya aina ya Eggy Plant Black
 Sukuma wiki aina ya Collarogeorgia
Sehemu ya ndani ya banda la Farmbase LTD likionekana limepangwa bidhaa aina mbalimbali zikiwemo dawa za mifugo na kilimo katika maonyesho hayo mkabala na banda la halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ama banda la Mtibwa Sugar.
Share on Google Plus

About Anonymous

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: