BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MBUNGE WA CCM ATAPAKAA MATOPE WAKATI AKIFYATUA MATOFALI KWA AJILI YA BENKI YA MATOFALI KATIKA KIJIJI CHA NIGE TARAFA YA MATOMBO MORO VIJIJINI.

Mbunge wa jimbo la Morogoro kusini na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Mhe Innocent Kalogeris wa pili kutoka kushoto na Diwani wa kata Kisemu, Hamza Mfaume wakifyatua matofali kwa kusirikiana na wananchi wa kijiji cha Nige ikiwa ni kampeni ya uhamasishaaji kwa wananchi wa kila kijiji wilayani Morogoro Vijijini ya kuwa na benki ya matofali kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za walimu, zanahanati na majengo ya shule. 
PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
 Mbunge wa jimbo la Morogoro kusini (mwenye fulana ya mbundamilia) pamoja na wananchi wa kijiji kipya cha Nige wakiandaa udongo kwa ajili ya maand
alizi ya kufyatua matofali.
 Hapa wananchi wakisomba udongo na kuwapelekea wafyatuaji.
Mbunge wa jimbo la Morogoro kusini Mhe Kalogeris kulia akizungumza jambo mara baada ya yeye kufyatua matofali 180 katika vikundi vilivyoundwa na wananchi kutoka vitongiji vitano vinaunda kijiji kipya cha Nige, Kushoto ni Diwani wa kata Kisemu tarafa ya Matombo, Hamza Mfaume.
 Akinana mama wakiandaa udongo.
 Mhe Kalogeris akiendelea na kazi ya kufyatua matofali katika vikundi
 Hapa ni kikundi kingine cha akina mama
 udongo mara baada ya kuandaliwa.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: