Mtangazi wa moja ya kituo cha luninga na redio hapa
nchini, Loveness Diva akidaiwa kupiga picha
zinazomusonyesha
maumbile yake ya siri na kaweka katika mtandao jambo ambalo ni aibu
hasa kwa mtu kama yeye
ambaye ni kioo cha jamii ambaye anapaswa kukemea maovu na
vitendo vya kuvunja maadili ya mtanzania kupitia taaluma yake.
Loveness Lov
Kupitia account yake ya instagram, jana Diva alitupia
picha ya paja
lake na kuwaacha mashabiki wake
wafunguke kama paja lake ni
zuri au baya....


0 comments:
Post a Comment