Wachezaji
wa Yanga wakiiibusu ngao ya jamii waliyotwaa baada ya kuifunga Azam bao
1-0 katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Taifa leo.
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mecky Sadiq Mecky akimkabidhi Nahodha wa
Yanga ngao ya jamii baada ya kuifunga Azam FC bao 1-0 katika mchezo
uliochezwa Taifa leo NA LENZI YA MICHEZO.
0 comments:
Post a Comment