
MENEJA JUMA MTANDA.
JOPO Zima la blog ya jamii JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM ina watakiwa waumini wote wa dini ya kiislam katika kuadhimisha sikukuu tukufu ya Idd Eil Fitry inasher
ehekewa mara baada ya kumalizika kwa funga ya saumu ya mwezi mtukufu wa ramadhani kwa kutekeleza moja ya nguzo tano za dini ya kiislam.
Tusherehekee kwa amani na utulivu na tuendeleze kutenda mema, upendo, umoja na mshikamano wa dhati sanjari na kushirikiana na waumini wa dini nyingine ili mwenyezi mungu aendelee kutupa amani katika taifa letu la Tanzania na kutujalia moyo wa subiri katika kila jambo jema na baya miongoni mwetu.
Amina.

0 comments:
Post a Comment