BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MWIGIZAJI WA FILAMU APATA JERAHA BAADA YA KUJERUHIWA NA CHUPA KATIKA UKUMBI WA STAREHE WA CLUB BILLICANAS JIJINI DAR ES SALAAM.

 Mwigizaji wa kike katika tasnia ya filamu Bongo Aunty Ezekiel akiwa anauguza jeraha la kidonda baada ya kud
aiwa kujeruhiwa na chupa katika ukumbi wa starehe wa Club Billicanas jijini Dar es Salaam.
 Aunty Ezekile
MWIGIZAJI wa kike katika tasnia ya filamu Bongo Aunty Ezekiel imeripotiwa kupata majeraha katika mkono wake wa kushoto baada ya kuchimbwa na chupa yenye ncha kali, sakata hilo la hatari lilitokea Club  Billicanas wakati wa show iliyokifanyika hapo chini ya Madam Wema Sepetu chanzo chetu kimetuhabarisha.

Chanzo cha ugomvi hadi leo bado kitendawili baada ya kutoka fununu kuwa uenda ugomvi huo unahusishwa na kumgombea bwana yaani mwanaume ambaye waliwahi kumgombea siku za nyuma lakini kupigana kidogo ambapo mmoja alitoka nduki na kuacha msala ukitulia. CHANZO http://mwanahabariuswazi.blogspot.com

Chanzo chetu bado kinafuatilia tukio hilo kwa ukaribu kisha tutakujuza kulikoni hadi nyota wetu kutaka kuharibiwa show yake ambayo ndio inapa ajira katika uigizaji, tunampa pole kwa majeraha yaliyompata , huku tukisubiri atusimulie sakata leo hakuwa tayari kupokea simu yetu.

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: