Mwendesha pikipiki Manispaa ya Morogoro akiwa anaendesha pikipiki huku akiwa amekumbatia mfuko aliouweka kwenye tenki la mafuta eneo la barabara ya Old Dar es Salaam jambo ambalo ni hatari endapo inaweza kutokea ajali na kushin
dwa kukabiliana nayo wakati akimsafirisha abiria wake kutoka sehemu moja kwenda nyingine mkoani Morogoro.
PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
0 comments:
Post a Comment