RAIS wa chama cha Riadha Tanzania na mkuu wa wilaya ya Mvomero, Anthony Mtaka akifafanua jambo wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya uongozi wa michezo, huduma ya kwanza kwa wachezaji na usajili wa vyama kwa viong
ozi wa vilabu kutoka katika halmashauri zote za Tanzania bara yaliyoandaliwa na
shirikisho la michezo ya serikali za mitaa Tanzania (SHIMISEMITA) ambapo jumla ya wajumbe 158 wanashiriki mafunzo hayo yanayofanyika kwa siku tano katika ukumbi wa ardhi Morogoro. PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
KATIBU wa shirikisho la michezo ya serikali za mitaa Tanzania (SHIMISEMITA) Salehe Lubawa akisoma risala wakati wa wa ufunguzi huo.PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
Wajumbe wa mafunzo hayo wakifuatilia matukio mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea.
PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
HAWA ni wakufunzi wa mafunzo hayo kutoka kushoto ni Somo Kimwanga, Robert Kalyahe, John Reuben Simkoko na kulia ni Idelphonce Magari.
PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
RAIS wa RT Anthony Mtaka (katikati) waliokaa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa mafunzo hayo. waliokaa kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Shemisemita, Gasberth Ngeimu na kushoto ni Afisa michezo mwanandamizi baraza la michezo taifa John Chalukulu. PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
0 comments:
Post a Comment