BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TASWIRA YA DKT. BILAL ALIVYOWASILI MKOANI TABORA KUHUDHURIA SWALA NA BARAZA LA IDDI KITAIFA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Dini ya Kiislamu wa Mkoa wa Tabora, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mkoa huo, leo jioni kwa ajili ya kuhudhuria Swala  na Baraza la Iddi Kitaifa Mkoani Tabora kesho, katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Mkoa wa Tabora, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mkoa huo, Jana jioni kwa ajili ya kuhudhuria Swala  na Baraza la Iddi Kitaifa Mkoani Tabora , katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi. Picha na OMR
 Mkamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mufti Mkuu wa Tanzania, Shaaban Bin Simba, wakati wa hafla ya Futari ya pamoja iliyofanyika Ikulu ndogo Mkoani Tabora . Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya wakazi wa Mkoani Tabora baada ya kushiriki nao katika hafla ya Futari ya pamoja iliyofanyika katika Ikulu ndogo leo jioni. Katikati ni Mbunge Tabora Mjini, Ismail Aden Rage. Picha na OMR
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: