BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

ULINZI MKALI KESI YA SHEIKHE PONDA ISSA PONDA KATIKA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI MOROGORO.

Askari wa jeshi la polisi kikosi cha FFU kutoka jijini Dar es Salaam akiwa na silaha wakati wa usikilizaji wa kesi ya Sheikhe Ponda Issa Ponda katika mahakama ya hakimu mk
azi Morogoro leo. PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
Basi lililombeba Sheikhe Ponda Issa Ponda likiwa chini ya ulinzi mkali muda mfupi baada ya kuwasili katika mahakama ya hakimu mkazi Morogoro wakati wa usikilizaji wa kesi yake katika mahakama hiyo. PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: