BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

UTII WA SHERIA BILA SHURUTI HUKO MBEYA: MGAMBO WATEMBEZA BAKAORA KWA WANANCHI, KISA KUMUUA PUNDA NA KUMTUPA MTONI MBEYA.

Fimbo hizo ni silaha walizokuwa wakizitumia kukaidi sheria bila shuruti na kujeruhi kila aliyewakaribia huko Chilulumo wilaya ya Momba mkoani Mbeya.

 Wakicharazwa viboko na mgam
bo baada ya kukamatwa.
 
Watu wanaotuhumiwa kumwua punda na kisha kumtupa kwenye mto ambao wananchi wa kando kando wanayatumia maji yake kwa shug
huli mbalimbali huko Momba, Mbeya, wamekamatwa na kuadhibiwa vibaya kwa kucharazwa viboko na  mgambo.
-Via Kalungula 
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: