NDEGE
ndogo ya shirika la Tanzanair iliyokuwa ikitokea Bukoba kwenda Dar Es
Salaam imelazimika kutua kwa dharura katika ziwa Manyara baada ya injini
yake moja kuzimika ghafla ikiwa angani.Ndege hiyo ilikuwa na abiria 6 na rubani 1 ambapo wote wamejeruhiwa na kukim
bizwa katika Hospitali ya Seliani Mijini Arusha kwa matibabu.

0 comments:
Post a Comment