BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BAADA YA KULIPA FAINI YA R30,000 HII NDIYO HABARI MPYA KUTOKA NDANI YA FAMILIA YA MASOGANGE KUHUSU ILE ISHU YA MADAWA YA KULEVYA.


Mtanzania Agnes Gerald, maarufu Masogange, ameachiwa huru na Mahakama ya Kempton ya jijini Johannesburg, baada ya kulip

a faini ya R30,000 (Sh4.8 milioni) kwa kosa la kubeba kemikali zinazotumika kutengeneza dawa za kulevya. 

Lakini hata hivyo kwa mujibu chanzo chetu cha toka kwa mtu wa karibu na familia ya Masogange amesema msanii huyo hatohitaji mapokezi yoyote pindi atakapowasili nchini kwa vile hao wanaopanga mapokezi ndio wanafiki wakubwa. 


Ambao walikuwa wanashangilia alipokuwa jela.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: