Mwandishi wa habari wa kampuni ya Mwanchi Communication Limited mkoa wa Morogoro, Venance George (Pichani anayeangalia kamera) amefariki dunia katika hosp
itali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro, taarifa zaidi ya msiba huo endelea kutembelea blog hii.
Meneja wa Blog JUMAMTANDA.BLOGSPOT ambaye alikuwa bosi wake katika kampuni ya Mwananchi Communication Ltd mkoa wa Morogoro inatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki kwa msiba huu hasa katika kipindi hiki kigumu cha maombelezo ya mpendwa wetu. Sisi tulikupenda Lakini Mwenyezi Mungu amekupenda zaidi, jina la Bwana lihimidiwe.
Mwenyezi Mungu amlaze mahala pepa peponi Amina.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / Uncategories / BREAKING NEWS !!!! MWANDISHI WA MWANACHI COMMUNICATION LTD MKOA WA MOROGORO, VENANCE GEORGE AFARIKI DUNIA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MOROGORO LEO MCHANA.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment