Grace Mbowe mwanamama aliyehama chama cha Chadema na kuhamia CCM wilayani Hai amefariki dunia katika ajali mbaya ya dari iliyotokea Kabuku mkoani Tanga mapema asbuhi ya leo Septemba 29/ mwaka huu.
Gerce ni dada wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freema Mbowe. Tutaendelea kuwajulisha juu ya tukio hilo, mwenyezi mungu ampumuzishe kwa amani.

0 comments:
Post a Comment