UMEISIKIA HI DISS KATIKA WIMBO MPYA WA DIAMOND? JE INAMHUSU WEMA? SOMA HAPA JANA video ya muziki ya Msanii Diamond platnumz ya wimbo wa My Number one imetoka rasmi kwenye Television na mitandao mbalimbali ya kijamii na kusema ukweli ni moja ya video nzuri sana za muziki hapa nchini na sio siri kijana huyu wa bongofleva amefanya kazi kubwa sana na anastahili pongezi.
UKIsikiliza kwa makini nyimbo hiyo yenye mahadhi flani
ya kiafrika zaidi na kuif
ikia dakika ya 2 na sekunde 50 (2:50) ya nyimbo huo utasikia neno “ubishi” ambao utaona sio mbaya ambapo wasomaji wetu muweze kusikia na kuona kwa vitendo katika video hiyo.
ikia dakika ya 2 na sekunde 50 (2:50) ya nyimbo huo utasikia neno “ubishi” ambao utaona sio mbaya ambapo wasomaji wetu muweze kusikia na kuona kwa vitendo katika video hiyo.
Sehemu ya mwisho ya nyimbo huo Diamond anatamka maneno ambayo baadhi ya watu maneno hayo yanamlenga mwanadada Wema Sepetu.
Baadhi ya maneno hayo yanayoenekana kama “kijembe”
kwakwe, Diamond anamalizia wimbo wake kwa kusema "Tuache tulale"
maneno amabyo kwa wale wanafuatilia habari za watu hawa wawili
yanaonekana kama mpenzi wa diamond wa sasa VJ Penny kwenye tukio la
wapenzi hao kumrekodi mwanadada Wema Sepetu kwenye simu alipokuwa
akimbembeleza mpenzi wake wa zamani (Diamond Platnumz) warudiane, tukio
liliotokea miezi kadhaa iliyopita.
Swali likawa, Je maneno haya yatakuwa yanamlenga Wema ?.
Kama
siyo kwanini Diamond ayatamke sehemu ambayo hata haihusiani nayo kwenye
wimbo ?
CHANZO :BONGO GOSSIPS
0 comments:
Post a Comment