Baada
ya mwenzao kuuwawa na maiti kudaiwa kuibwa katika hospitali ya Chunya kuna madai kuwa jamii ya wamasai wamebeba silaha za jadi wakitaka kulip iza kisasi, pichani wafugaji wa kiume wa jamii hiyo wakiwa na silaha za jadi wakiranda nazo Chunya mkoa wa Mbeya SOURCE mbeya yetu
0 comments:
Post a Comment