NI mwendelezo wa Sakata la unga ambalo
sasa ni janga kwa taifa letu, Orodha zinaendelea kutoka na kuwekwa wazi
huku bunge likivutana kuhusu sakata hlo.
Tetesi za kutoka ndani zinasema msanii
wa muziki Naseeb Abdul au Diamond ambaye alijitapa wazi mbele ya kamera
za habari kuwa anamiliki ukwasi zaidi ya bilioni moja kwenye akaunti
yake, nyumba 5 za thamani Kijitony
ama na Mikocheni na anatumia simu 6 za
thamani ambazo zipo hewani muda wote tayari amenyang'anywa hati yake ya
kusafiria na baadhi ya simu zake katika mwendelezo wa uchunguzi juu
yake unaofanywa na vyombo vya dola.
Msanii pia wa maigizo Masanja
Mkandamizaji ambaye anadaiwa kumiliki mkwanja mrefu na nyumba za thamani
kubwa mpaka magari naye tayari ametajwa kuhusika na sembe.
Episode inaendelea,tuungane katka vita hii.SOURCE: Jamii Forums
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / Uncategories / DIAMOND, MASANJA MKANDAMIZAJI WADAIWA KUNYANG'ANYWA HATI ZA KUSAFIRIA NI SUALA LA MADAWA YA KULEVYA.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment