BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HUENDA AL-SHABAAB LEO WAKASAMBARATISHWA NDANI YA JUMBA LA MADUKA YA WESTGAE MALL !!! RAIA 60 WATHIBTISHWA KUPOTEZA MAISHA KWA KUUAWA KWA KUPIGWA RISASI NA KUNDI LA AL-SHABAAB MJINI NAOIROBI KENYA.

MAGAIDI BADO WAPO NDANI YA WESTGATE, MMOJA MWANAMKE
 
ZAHAMA NAIROBI:
VIFO vyafikia karibu 60 katika shambulio la kigaidi kwenye maduka ya Westgate Mall huku zaidi ya watu 175 wakifik

ishwa hospitali na wengine 1,000 wakiokolewa. 

Vyombo vya usalama viko katika hatua za mwisho mwisho za kuwatimua Al-Shabab toka ndani ya jengo hilo. Ripoti zasema zaidi ya magaidi 10 wamehusika katika shambulio la leo, mmoja akiwa mwanamke. Chanzo dailynation.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: