BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

RAIS KIKWETE NA RAIS KAGAME MENO NJE NJE KAMPALA NCHINI UGANDA.

Rais Poul Kagame wa Rwanda akiteta jambo na Rais Jakaya Kiwete wa Tanzania kulia wakati walipok
utana katika mkutano wa ICGLR Summit mjini Kampala Uganda leo.   
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Rais Paul Kagame wa Rwanda wakati walipokutana faragha sambamba na mkutano wa wakuu wa nchi za Maziwa Makuu uliofanyika katika Hoteli ya Munyonyo Commonwealth Resort, jijini Kampala,Uganda.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakati walipokutaba na kufanya mazungumzo ya faragha, katika Hoteli ya Munyonyo Commonwealth Resort, jijini Kampala, Uganda.




Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: