Sean akimnywesha mwanae maziwa.
MTOTO
Sean Stewart wa nchini Uingereza, amekuwa baba mdogo pengine kuliko
wote duniani baada ya mpenzi wake kujifun
gua wiki hii mtoto wa kiume
mwenye afya.
Sean
aliyetimiza miaka 12 mwezi uliopita, aliruhusiwa kutoenda shule ili
kuwa pembeni ya mpenzi wake mwenye miaka 16, Emma Webster, wazazi wake
Ray na Shirley, na mama yake Sean, Theresa.
Alikuwa na miaka 11 na Emma
miaka 15 alipopata ujauzito huo.
BABA NA MWANA.
Yupo darasa la saba katika shule ya Margaret Beaufort.
Mwaka jana Sean alisema kuwa atakuwa bega kwa bega na Emma na mtoto wake pia. “I was shocked at first when I was told Emma was pregnant but I am all right about it now,” alisema Sean.
Mwaka jana Sean alisema kuwa atakuwa bega kwa bega na Emma na mtoto wake pia. “I was shocked at first when I was told Emma was pregnant but I am all right about it now,” alisema Sean.
0 comments:
Post a Comment