Watu waliohudhuria mkutano wa UVCCM kwenye viwanja vya Komba Wapya, Zanzibar wakishangilia.
|
Mmoja wa mashabiki wa CCM aliyehudhuria mkutano wa UVCCM kwenye viwanja vya Komba Wapya, Zanzibar, akishangilia.
|
Baadhi ya wananchi wakiwa
wamepanda juu ya jengo kushuhudia kila kilichokuwa kikifanyika kwenye
mkutano wa hadhara wa UVCCM uliofanyika Viwanja vya Komba Wapya,
Zanzibar.
|
Baadhi ya viongozi wa CCM, waliohudhuria mkutano wa hadhara wa UVCCM kwenye viwanja vya Komba Wapya mjini Zanzibar.
|
Mwenyekiti wa UVCCM Sadifa Juma
Hamis akihutubia mkutano wa hadhara wa Jumuia hiyo, kwenye Viwanja vya
Koamba Wapya mjini Zanzibar. (Picha zote na Bashir Nkoromo).
|
About mtanda blog
Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
0 comments:
Post a Comment