Mwakilishi wa jimbo la Kwamtipura Hamza Hassan, akizungungumza na
Mwakilishi wa kuteuli Ali Mzee Ali ,wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano
wakati wa kujadili Mswada wa Sheria ya Matumizi ya Ardhi Zanzibar
iliowakilishwa jana nakujadiliwa na Wajumbe wa Baraza hatimae kupitishwa
kwa Mswada huo jana.
Wajumbe wa Barazala Wawakilishi kushoto Issa Gavu (CCM) na Ismail Jussa
(CUF) wakitoka katika ukumbi wa mkutano baadaya kuahirishwa kwa Kikao
cha asubuhi kwa mapumziko ya mchana. na kurudu jioni kuendelea na
kujadili Mswada wa Sheria ya Ardhi Zanzibar.
Mhe. Abubakary Khamis Bakari , Mhe. Ali Mzee Ali , wakimsikiliza
Mwakilishi wa Mji Mkongwe Ismail Jussa, akisisikita jambo na kutowa
maoni yake kwa wajumbe hao baada ya kikao cha saubuhi kuahirishwa kwa
mapumziko mafupi ya mchana.
Mhe. Nassor Salim Jazeera, akisisitiza jambo na Naibu Katibu Mkuu
Wizara ya Ardhi Maji Nishati na Makaazi Mustaafa Aboud Jumbe nje ya
Ukumbi wa Mkutano,
Mhe Asha Bakari Khamis, akizungumza na kubadilishana mawazo na Wajumbe
wezake baada ya kuahirishwa kikao cha asubuhi kwa mapumziko wakiwa nje
ya ukumbi wa Mkutano.
0 comments:
Post a Comment