BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HIKI NDICHO KILICHOTOKEA BAADA YA MTANGAZAJI NA MWANDISHI WA ITV KUPIGWA RISASI NA MPENZI WAKE KIBAMBA, KISHA KUKIMBBIZWA HOSPITALI YA RUFAA YA MUHIMBILI JIJINI DAR ES SALAAM.

UFOO SARO AFANYIWA UPASUAJI WA KUONDOLEWA RISASI MWILINI APELEKWA WODI 12 YA KIBASILA.

Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakimsindikiza Ufoo Saro wakati akipelekwa wodini
.
Ufoo Saro baada ya kufanyiwa upasuaji huo.

Muuguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), akimpeleka wodini Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha ITV, Ufo Saro, baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuondolewa risasi kufuatia kushambuliwa kwa silaha ya moto nyumbani kwa mama yake Kibamba jijini Dar es Salaam leo na mtu aliyedaiwa ni mchumba wake ambaye pia alimuua mama yake na kisha kujiua.

Wanahabari wakimpiga picha Ufoo Saro baada ya kuondolewa chumba cha upasuaji. 
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: