BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HIVI NDIVYO WAETHIOPIA 16 NAMNA WALIVYOKAMATWA MKOANI MOROGORO WAKATI WAKIELEKEA MALAWI.

 
HATUA KWA HATUA:
Alianza kuchomolewa huyu jamaa katikati ya mifuko ya chokaa kabla ya wengine nao kuchomola katika tukio la ukamataji wa lori lililokuwa limewabeba raia wa Ethiopia 16 wakiel
ekea nchi jirani ya Malawi kustukiwa na wasamalia wema eneo la Msamvu kufuatia mmoja wa waethiopia hao kuzidiwa pumzi. 

Kitendo hicho cha kuamua kutoka ndani ya nyuma ya lori hilo ambako walihifadhi wa dereva wa lori na kwenda kukaa mbele ya lori hilo, hali hiyo ndiyo iliyotibua mambo yote na kuwafanya wasamalia wema waliokuwa wamekaa jirani kuastushwa na hali hiyo na kuwatilia shaka na kuanza kulifuatilia kabla ya kumdhibiti dereva na kufanikiwa kumkata na kupelekwa kituo cha Polisi mkoa wa Morogoro.
JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
 
 Akiwa anatolewa.
 Hatua hii ndiyo iliyofuata
 Hapa ilikuwa hivi.
Akipokelewa na wasamalia wengine ili asidondoke na kuumia. Kazi ilikuwa hivyo.

Endelea kutembelea Blog yako JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM ili kuweza kuona picha zaidi ya tukio hilo lililokusanya mamia ya wakazi wa Manispaa ya Morogoro kuanzia Msamvu hadi kituo kikuu cha Polisi Morogoro ambapo kati ya raia hao 16, wanne kati yao walikimbizwa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro kwa ajiili ya huduma ya kwanza.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: