Nina uhakika wa ufaulu lakini mambo yote inategemea na wasahihishaji wa mitihani kama hawatak
osea kutokana na mfumo wa eletroniki maana nimesikia watasahihisha kwa njia hiyo.
MARIAMU MOHAMED (14).osea kutokana na mfumo wa eletroniki maana nimesikia watasahihisha kwa njia hiyo.
Kazi ninayoipenda kuifanya baada ya kumaliza masomo yangu hadi chuo kikuu ni kuridhi kazi ya baba yangu kwani yeye ni mkandalasi wa barabara nami napenda kufanya kazi hiyo nikiwa mkubwa.
Niliona mtihani wa wastani kutokana na maswali yake kuwa sawa magumu kiasi na mepesi kiasi lakini nina uhakika wa kufaulu na masomo ambayo yatanifanya nifaulu ni hesabati, sayansi, kiswahili na english kwani nimejaza majibu ipaswavyo.
kazi inayonivutia baada ya kumaliza masomo hadi chuo kikuu ni kuwa wakili nataka kutete haki za wanyinge na kulinda mali za umma hasa wabadilifu sitaweza kuwafumbia macho.
ABDALLAH RAMADHAN SALUM (15).
Mtihani niliuona ni mrahisi kwangu kwa sababu maswali yote yalipo katika mtuhani tayari tumefundiwa kupitia masomo yake hivyo sina shaka kabisa nitafaule.
Kazi ninayo penda kuifanya ni kutetea haki za binadamu hasa nikiwa wakili wa serikali,kwa kuwanyoosha watumishi wanaotumia vibaya madaraka yao kuwanyanyasa wananchi na wale waanaojihusisha na kufuja mali za umma.
0 comments:
Post a Comment