Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mmoja wa waajiriwa wa kiwanda
cha Bakhressa Food Products Bi.Khadija Isihaka wakati Rais alipozindua
uzalish
aji katika kiwanda hicho kilichopo chini ya Kampuni ya Azam huko
Mwandege,Wilyani Mkuranga leo.Kiwanda hicho kimetoa ajira kwa zaidi ya
watu 400.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua moja ya bidhaa
zinazozalishwa na kiwanda cha vinywaji baridi cha Azam wakati Rais
alipotembelea na kuzindua uzalishaji katika kiwanda hicho huko Mwandege,
Wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuashiria kuzindua rasmi uzalishaji katika kiwanda cha Bakhressa Food Products huko Mwandege, Wilayani Mkuranga leo asubuhi.Kushoto ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, Wapili kushoto ni mmiliki wa kiwanda hicho Bwana Said Bakhressa na kulia ni Waziri waViwanda na Biashara Dkt.Abdallah Kigoda(picha na Freddy Maro).
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / Uncategories / J K AZINDUA KIWANDA CHA BAKHRESSA FOOD PRODUCTS NA KUFANYA UKAGUZI KILICHOPO MWANDEGE WILAYA YA MKURANGA MKOANI PWANI.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment