KONTENA lililokuwa limebeba vitu vya nyumbani, limekamatwa likiwa na bidhaa
nyingi za ajabu kama mafuvu na vitu vingine vya kutisha ambavyo
inasemekana huwa vinatumika kwenye ibada za dini za kishetani. Mzigo huo bado unashikiliwa na mamlaka za Kenya na hii hapa audio ya ripoti nzima pamoja na video ya mzigo wenyewe kama ilivyoripotiwa na Citizen TV.
KUONA VIDEO YAKE BOFYA HAPA CHINI.

0 comments:
Post a Comment