Bajaj iliyoibiwa gurugumu ndiyo hii. KIBAKA akiwa ndani ya Bajaj akifanya mawasiliano na simu baada ya kupokea kipigo.
KIBAKA mmoja aliyejulikana kwa jina la Chura jana alioja joto ya jiwe
kwa kushushiwa kipigo na mader
eva wa Bajaj baada ya kuiba gurudumu la Bajaj maeneo ya Bamaga jijini Dar es Salaam.
eva wa Bajaj baada ya kuiba gurudumu la Bajaj maeneo ya Bamaga jijini Dar es Salaam.
Baada ya kupewa kipigo kikali alikimbilia kwenye Bajaj na kukaa
ndani yake ambapo alivutwa lakini haikuwezekana kutolewa kutokana na
jinsi alivyokuwa amejishikilia kwa nguvu ndipo watu walipoamua
kumpeleka katika kituo cha polisi Mabatini. gurudumu hilo lililoibiwa
halikuweza kupatikana.
Mwenye Bajaj akimvuta kwa hasiri ili amtoe nje.
Madereva wa Bajaj wakimtazama kibaka huyo.
0 comments:
Post a Comment