BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

DIAMOND AULIZA NANI KASEMA YEYE AMERUDIANA NA MWANADADA WEMA SEPETU ?.


KUMEKUWA na Uvumi na Habari nyingi sana
Mitandaoni na Kwenye Media tofauti.

Kwamba mimi na Mwanadada Wema Sepetu tuna mahusiano ya
Kimapenzi, kitu ambacho Sikweli na taarifa hizo ni za uongo.. uvumi huu ulianza kisa tu yeye kucomment kwenye Account yangu ya Instagram?..

Hebu tujifunze kubadilika, inamaana watu mkiwa hamko
kimahusiano ya Mapenzi basi msizungumze ama Kushiriki kwa chochote ?.

Futeni huo uzamani na Mbadilike, inamaana
Mnapenda kuona watu wana uadui... ni muda
wa kufanya kazi ili Kulipa sifa na heshima Taifa la Tanzania.
na si kuekeana chuki zisizo nanfaida..”
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: