BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

NAMNA YA KUZITAMBUA SABABU ZA KUHARIBIKA KWA UJAUZITO NA HATUA ZA KUCHUKUA.

pregnant-black-woman 
MAANA YA MIMBA KUHARIBIKA SABABU, DALILI ZAKE NA NINI UFANYE BAADA YA MIMBA KUHARIBIKA. 

YAPO mambo mengi kadha wa kadha
Yanayosababisha mimba kuharibika
Hasa joto la mwili kupanda, Ukimwi, Malaria,! Shinikizo la damu.
Misukosuko inayatok

ana na kazi,
Sababu nyingine zake hazijulikani,
Mimba kuharibiwa makusudi, sababu haikupangwa kupatikana.
Utumizi mbaya wa dawa za kienyeji na za hospitali

DALILI ZA MIMBA KUHARIBIKA
Mjamzito kutokwa na damu kwa wingi,
Tumbo kuuma na maumivu makali
Kupungua au kuisha kwa mimba ni dalili tosha
Kupungua au kuisha kwa mimba ni dalili tosha ni dalili tosha

Ewe mama, msichana wajulishe ndugu rafiki na jamaa
Mara uonapo dalili za kuharibika kwa ujauzito
Wakupeleke hospitali,
Ukupate huduma bora na ushauri
Tiba hii ni muhimu itaokoa maisha yako na ya mtoto

Na huu ni ushauri, Baada ya tiba ya kuharibika.
Usiingize kitu chochote ndani ya uke , Vaa kitambaa au pedi safi
Usifanye tendo la ndoa mpaka zipite, Siku tatu baada ya damu kukauka.


Ukiona dalili zifuatazo, Wahi kituo cha afya haraka
Ukiona dalili zifuatazo ,Wahi upate tiba

Damu kuendelea kutoka zaidiya siku nane
Majimaji yenye harufu mbaya kutoka ukeni
Maumivu makali ya tumbo,kizunguzungu homa pamoja na kutapika

TAMBUA KWAMBA UNAWEZA KUPATA MIMBA NYINGINE MARA TU HATA KABLA YA HEDHI,
KAMA UNAFANYA TENDO LA NDOA UNAHITAJI NJIA YA UZAZI WA MPANGO MARA TU BAADA YA KUSAFISHWA KIZAZI. 


NJIA ZOTE ZA UZAZI WA MPANGO NI NZURI KAMA UTAPIMA NA KUFUATA MAELEKEZO UTAKAYOPEWA KLINIKI. 


KILA MIMBA INAPOHARIBIKA YAFAA KIZAZI KIKASAFISHWA NA KUPUMZISHWA KWA MUDA WA MIEZI MITATU, SITA UA ZAIDI KABLA YA KUPATIKANA KWA MIMBA NYINGINE
HIVYO BASI EWE MAMA, EWE DADA MSICHANA ZINGATIA. 


AFYA NI BORA KWA MAISHA YAKO. manyandahealthy@gmail.com
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: