Mkuu wa kituo cha usalama barabarani mkoa wa Morogoro, Leopard Fungu akiwa amemkam
ata mwendesha pikipiki eneo la kivuo cha watembea kwa miguu cha stendi ya daladala wakati wa operesheni ya kukamata pikipiki zenye makosa ikiwa ni agaizo la kamati ya ulinzi na usalama mkoa huo kufanya ukaguzi na kukamata pikipiki zenye makosa, zoezi linaloenda sambasamba na wiki ya nenda kwa usalama mkoani Morogoro.
0 comments:
Post a Comment