Marehemu amefia katika Hospitali ya Kardinali iliyopo Ukonga jijini Dar es Salaam na msiba upo nyumbani kwa Bahati maeneo ya Tabata, jijini Dar es Salaam.
Mwenyezi mungu awape moyo wa subri ndugu, jamaa na marafiki katika kipindi hiki kigumu cha maondokewa na mpendwa wetu, Amina. chanzo http://habari24.blogspot.com

0 comments:
Post a Comment