BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HII NDIYO TEKNOLOJIA YA UBUNIFU WA WAHANDISI KIJIJI CHA MGATA KATA YA BWAKILAJUU MOROGORO VIJIJINI.

 
Mkazi wa kijiji cha Mgata kata ya Bwakilajuu halmashauri ya wilaya ya Morogoro, EVARINA JOHN (39) akiosha vyombo vya ndani kwa kutumia maji ya chemshemche yaliyotegwa kutumia teknolojia ya bomba la mwanzi, kijiji hicho kimetawaliwa na milima yenye mikondo mingi ya maji yatokanayo na chemchem. PICHA/MTANDA BLOG.


Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: