BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

KISASI AZINDUA JENGO JIPYA LA GOLOFA LA UVCCM VISIWANI ZANZIBAR.

Mwakilishi wa Jimbo la Fuoni Thuwaiba Kisasi akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo jipya la Umoja wa Vijana Darajani, baada ya ujenzi huo kukamilika nusu ya ujenzi wake kufuatia kuondolewa kwa Makontena yaliyokuwepo hapo awali na kujenga jengo la gorofa likiwa na maduka kwa ajili ya kupangisha wafanyabiashara.
Mwakilishi wa Jimbo la Fuoni Thuwaiba Kisasi akiondoa kitambaa kuashiria uzinduzi huo. wa jengo jipya la Umoja wa Vijana Darajani, baada ya ujenzi huo kukamilika nusu ya ujenzi wake baada ya kuondowa Makontena na kujenga jengo la gorofa likiwa na maduka kwa ajili ya wafanyabiashara wa eneo hilo.
Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar Shaka Hamdu, akimtembeza Mwakilishi wa Jimbo la Fuoni na Naibu Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Thuwaiba Kisasa baada ya juzindua jengo hilo jipya la maduka darajani.  




Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: