Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini Abdullaziz Abood kushoto akitoa hundi ya sh1 milioni kwa Mwenyekiti wa chama cha madareva mkoa wa Morogoro Michael Mongi ikiwa mchango kwa chama cha madereva wa daladala Kihonda-mjini wakati wa uzinduzi wa ofisi ya chama hicho leo mkoani Morogoro.
MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI AZINDUA OFISI YA CHAMA CHA MADEREVA NA MAKONDAKTA KIHONDA-MOROGORO.
Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini Abdullaziz Abood kushoto akitoa hundi ya sh1 milioni kwa Mwenyekiti wa chama cha madareva mkoa wa Morogoro Michael Mongi ikiwa mchango kwa chama cha madereva wa daladala Kihonda-mjini wakati wa uzinduzi wa ofisi ya chama hicho leo mkoani Morogoro.

0 comments:
Post a Comment