Edward Lowassa.
MBUNGE wa jimbo la Munduli, Edward Lowassa leo amenguruma na kutaka taifa kuacha kuweka vipaumbele vingi visivyotekelezeka kwa wakati.
Lowassa ameitaka serikali kuweka nguvu katika vipengele vichache vya msingi kama ajira, afya, elimu na miundombinu.
Aidha hakuishia hapoa pia amewapongeza mawaziri Dk John Magufuli wa wizara ya Ujenzi kwa kuimarisha barabara na Dk. Harrison Mwakyembe kwa kubuni mbinu za kupunguza foleni jijini Dar es Salaam kuwa zinachangia kuharibu uchumi kwani watu wengi wanakaa barabarani badala ya kufanya kazi.
About mtanda blog
Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
0 comments:
Post a Comment