BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MR. BLUE ANATAFUTWA NA POLISI WA KENYA KWA UTAPELI


Hitmaker wa ‘Mapozi’ Mr. Blue aka Kabayser anatafutwa na polisi wa
Kenya. Msanii huyo anatafutwa kwa shutuma za kushindwa kutokea kwenye
show aliyokuwa amesaini mkataba huko Mombasa, Kenya. Mr. Blue alikuwa
anatakiwa kutumbuiza kwenye maeneo ya Office Restaurant, Likoni na
Mariakani Jubilant Hotel, November 16 na 17.

Mratibu wa show hiyo, Sammy Ondwar Onyango, aliamua kwenda kushtaki
polisi sababu anadai alikuwa ameshamlipa msanii huyo sehemu ya malipo
waliyokuwa wamekubaliana.SOMA ZAIDI
Share on Google Plus

About Anonymous

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: