Meneja Mauzo wa kampuni ya mwananchi mkoa wa Morogoro, Andrew Mpasa kulia na mwandishi wa gazeti la Mwananchi Morogoro, Habiba Yahya kushoto wakimkabidhi Ismail Ngayaula hundi ya sh1 milioni katika ofisi za kampuni hiyo baada ya kushinda katika shindano la chomoka na mwananchi mkoa wa Morogoro.
0 comments:
Post a Comment